💥#TAFAKARI YA LEO; TATIZO NI MSINGI…
Asubuhi njema wanamafanikio? Hongera sana kwa siku hii nyingine ya leo, Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo makubwa. Tutumie nafasi hii ya leo vizuri rafiki yangu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MSINGI… Popote ambapo unaona mambo hayaendi sawa, tatizo linaanzia kwenye msingi. Kama ilivyo (more…)
