2530; Mnyoo Mjinga.
2530; Mnyoo Mjinga. Kwenye baiolojia kuna dhana kwamba mnyoo (parasite) mwenye akili anahakikisha kiumbe anayemtegemea hafi. Hivyo hata kama anamnyonya virutubisho mbalimbali, anahakikisha hachukui kila kitu mpaka kupelekea afe. Hiyo ni kwa sababu kama kiumbe ambaye mnyoo anamtegemea atakufa, basi na yeye atakufa pia. Hivyo tunaweza kusema mnyoo ambao unamuua (more…)
