2526; Mtego wa mateso.

By | November 30, 2021
2526; Mtego wa mateso. Haya maisha huwa yana mitego ya mateso ambayo usipoijua utaishi maisha ya kuteseka sana. Mitego hii haijaanza sasa, wanafalsafa wa kale waliielewa sana na wakawa na mafunzo ya kuwatahadharisha watu. Kuna mifano mikubwa miwili ya mafunzo ya kale yanayoonyesha mitego hii. Wa kwanza ni Promethus ambaye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In