2521; Tofauti inaanzia kwenye kujali.

By | November 25, 2021
2521; Tofauti inaanzia kwenye kujali. Watu wawili, wanaweza kuwa wanafanya kazi au biashara ya aina moja, mmoja akafanikiwa sana na mwingine akashindwa kabisa. Watu wamekuwa wakitafuta sababu za tofauti hiyo, wakiona labda ni bahati, fursa, upendeleo na uwezo tofauti. Yote hayo yanaweza kuchangia, ila kuna kimoja kikubwa ambacho huwa hakipewi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In