2480; Ishi ulaumiwe, kufa usifiwe.
2480; Ishi ulaumiwe, kufa usifiwe. Nikiwa kwenye basi safarini niliona igizo moja la kichekesho, lakini pia lenye funzo kubwa. Palikuwa na bwana mmoja ambaye alikuwa na uwezo mkubwa kwenye mtaa wake kuwazidi wengine. Kila mtu kwenye mtaa wake alipopata shida alienda kumwomba msaada. Na yeye hakuwa mtu wa kukataa, pale (more…)
