2475; Angalia Muda.

By | October 10, 2021
2475; Angalia Muda. Tumekuwa tunaona jinsi watu wanalaghaiwa na kutapeliwa kwenye zama hizi. Kwa kuitwa kwenye fursa mbalimbali ambazo zinawahamasisha kweli kweli na wanaziamini, lakini baadaye wanakuja kugundua wametapeliwa. Nilishakushirikisha njia moja ya kupima kama fursa ni ya kweli au utapeli, ambayo ni kujiuliza kazi unayopaswa kuweka na thamani unayotoa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In