Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuishi Maisha Yako Kwa Ukamilifu.

By | April 21, 2015

Work like you don’t need the money. Love like you’ve never been hurt. Dance like nobody’s watching. -Satchel Paige Fanya kazi kama vile huhitaji fedha. Penda kama vile hujawahi kuumizwa. Cheza kama vile hakuna anayekuangalia. Ukiweza kufanya mambo hayo matatu, utaishi maisha yako na mafanikio yatakuwa yako. SOMA; Hii Ndio (more…)

NENO LA LEO; Kama Hutaki Kuwa Na Maadui Fanya Kitu Hiki Kimoja.

By | April 20, 2015

He who falls in love with himself will have no rivals. -Benjamin Franklin Yule anayejipenda mwenyewe hawezi kuwa na maadui/wapinzani. SOMA; Siri Za Kuwa Mjasiriamali Bora Na Kufikia Mafanikio Makubwa. Njia moja ya uhakika ya kuepuka kuwa na maadui ni kujipenda wewe mwenyewe. Unapojipenda wewe mwenyewe utawapenda na wengine pia. (more…)

NENO LA LEO; Hii Ndio Sifa Muhimu Ya Mtu Unayetakiwa Kumuajiri.

By | April 19, 2015

Do not hire a man who does your work for money, but him who does it for love of it. -Henry David Thoreau Usimuajiri mtu anayefanya kazi yako kwa sababu tu anataka fedha, bali ajiri yule anayeifanya kwa sababu anaipenda. Fedha sio hamasa nzuri ya kufanya kazi. Hii ni kwa (more…)

NENO LA LEO; Njia Ya Uhakika Ya Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | April 18, 2015

If you want to be successful, it’s just this simple. Know what you are doing. Love what you are doing. And believe in what you are doing. -Will Rogers Kama unataka kufikia mafanikio, ni rahisi kama hivi. Jua ni nini unafanya. Penda kile unachofanya. Na pia amini kile unachofanya. SOMA; (more…)

UKURASA WA 107; Sema HAPANA, Hapa Ndio Uhuru Wako Ulipo.

By | April 17, 2015

HAPANA ndio neno gumu kusema kuliko maneno mengine yote. Hasa kwa watu ambao ni wa karibu au kwa vitu ambavyo unavipenda. Lakini neno hili HAPANA ndio limebeba uhuru wako. Yaani uhuru wako upo ndani ya uwezo wako wa kusema hapana. Kwa nini HAPANA ni muhimu? Tunaishi kwenye dunia ambayo ina (more…)

NENO LA LEO; Unachotakiwa Kusema Na Unachotakiwa Kufanya.

By | April 17, 2015

I say what I want to say and do what I want to do. There’s no in between. People will either love you for it or hate you for it. –Eminem Nasema kile ninachotaka kusema na nafanya kile ninachotaka kufanya. Hakuna kuwa kati kati(vugu vugu). Watu watakupenda au kukuchukia kw (more…)

NENO LA LEO; Usilenge Mafanikio. Lenga Kitu Hiki Na Mafanikio Yatakuja Yenyewe.

By | April 16, 2015

Don’t aim for success if you want it; just do what you love and believe in, and it will come naturally. -David Frost Usilenge mafanikio kama unayataka, wewe fanya kile ambacho unapenda kufanya na amini kwenye kitu hiko na mafanikio yatakuja yenyewe. Siku zote mafanikio yanakuja kw akufanya kitu ambacho (more…)

UKURASA WA 105; Njia Bora Kabisa Ya Kulipa Kisasi..

By | April 15, 2015

Kwanza kabisa, hakikisha hujengi uadui na mtu, jaribu kuishi bila ya kujiingiza kwenye matatizo na watu. Ila kama watu ndio watalazimisha kujiingiza kwenye matatizo na wewe basi leo nakupa njia bora kabisa ya kuweza kulipa kisasi. Labda kuna watu ambao wanakupinga sana kwa kile ambacho unafanya. Labda kuna watu ambao (more…)

NENO LA LEO; Jambo Muhimu La Kufanya Kila Siku Unapoamka Asubuhi.

By | April 15, 2015

When you arise in the morning, think of what a precious privilege it is to be alive – to breathe, to think, to enjoy, to love. -Marcus Aurelius Unapoamka asubuhi, fikiria ni jinsi gani ulivyo na bahati ya kipekee kuwa hai – kupumua, kufikiri, kufurahia, kupenda. SOMA; TABIA ZA MAFANIKIO; (more…)

NENO LA LEO; Hii Ndio Tiba Ya Muujiza Mkubwa.

By | April 14, 2015

Love is the great miracle cure. Loving ourselves works miracles in our lives. -Louise L. Hay Upendo ndio tiba ya muujiza mkubwa. Kujipenda sisi wenyewe kunaleta miujiza mikubwa kwenye maisha yetu. SOMA; Sababu Zinazokufanya Wewe Kushindwa Kuthubutu Wazo Lako Kama una changamoto zozote kwenye maisha yako, kama una matatizo yoyote (more…)