Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kipimo Cha Upendo.

By | April 13, 2015

The degree of loving is measured by the degree of giving. -Edwin Louis Cole Kiwango cha upendo kinapimwa kwa kiwango cha kutoa. Tunapima kiwango cha mtu cha upendo kwa kiwango ambacho yupo tayari kutoa. Upendo sio maneno, bali ni matendo. SOMA; Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha (more…)

NENO LA LEO; Usiweke Maanani Unachoambiwa Na Mtu Aliye Kwenye Hali Hizi Tatu.

By | April 12, 2015

It’s useless to hold a person to anything he says while he’s in love, drunk, or running for office. -Shirley MacLaine Haina maana kumwajibisha mtu kwa chochote anachosema wakati yuko kwenye mapenzi, amelewa au anagombea. Katika hali hizi tatu, mtu anaweza kusema jambo lolote hata kama hana uywezo wa kulitekeleza (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Unachotakiwa Kufanya.

By | April 11, 2015

Only do what your heart tells you. -Princess Diana Fanya kile ambacho moyo wako unakuambia ufanye. Maisha ni yako na kama unataka kuyafurahia ni lazima ufuate kile moyo wako inachokuambia. Kuna vitu ambavyo unapendelea kufanya hivi ndivyo vitakavyokuletea mafanikio. Kuna vitu ambavyo unajua ni muhimu kwako, vifanye hivi bila ya (more…)

UKURASA WA 100; Usipige Kelele, Fanya Watu Waone…

By | April 10, 2015

Kama unaweza, huna haja ya kupiga kelele ili uonekane kwamba unaweza. Njia rahisi ya wewe kuonesha wkamba unaweza ni kufanya kile ambacho unaweza, tena ukifanye kwa ubora wa hali ya juu sana kuliko ambavyo imewahi kufanya na mtu mwingine yeyote. Kuwapigia watu kelele kwamba unaweza, kutaka na wewe uonekane kwamba (more…)

NENO LA LEO; Kinachofanya Maisha Yawezekane Na kinachoyafanya Yawe Rahisi.

By | April 10, 2015

Faith makes all things possible… love makes all things easy. -Dwight L. Moody Imani inafanya kila kitu kiwezekane…. mapenzi(upendo) unafanya kila kitu kiwe rahisi. Kama huna imani utaona kila kitu hakiwezekani hasa kwenye dunia hii ambayo imejaa kila aina ya changamoto, ni imani pekee itakayokuwezesha wewe kuendelea na mapambano licha (more…)

NENO LA LEO; Siri Itakayokuwezesha Kufanya Chochote.

By | April 9, 2015

Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world. -Lucille Ball Jipende wewe kwanza na vitu vingine vyote vitakwenda sawa. Unahitaji kujipenda mwenyewe ili uweze kukamilisha chochote hapa duniani. Kama hujipendi wewe mwenyewe basi hakuna jambo kubwa (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kitu Muhimu Sana Kwenye Maisha Yako. Na Sio Chakula Au Hewa.

By | April 8, 2015

A flower cannot blossom without sunshine, and man cannot live without love – Max Muller Ua haliwezi kuchanua pasipokuwepo na mwanga wa jua na mtu hawezi kuishi pasipokuwepo na upendo. Upendo ni kiungo muhimu snaa cha maisha yetu. Bila ya upendo maisha yanakuw amagumu san akuishi na hata kufurahia. Unaweza (more…)

NENO LA LEO; Unachopata Kwenye Kupendwa Na Unachopata Kwenye Kupenda.

By | April 7, 2015

Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage. -Lao Tzu Kupendwa sana na mtu mwingine kunakupa wewe nguvu, kumpenda sana mtu mwingine kunakupa wewe ujasiri. Haitoshi tu wewe kusema kwamba unapendwa, unahitaji kupenda pia. Wapende wale wanaokupenda na hata wasiokupandea pia. Hakuna chochote (more…)

NENO LA LEO; Mipango Sio Muhimu Kama Kitu Hiki.

By | April 6, 2015

“Plans are of little importance, but planning is essential.” ― Winston Churchill Mipango inaweza isiwe muhimu sana, ila kupanga ni muhimu mno. Unaweza kuwa na mipango lakini usiifikie, ni jambo la kawaida kwa sababu mambo yanabadilika. SOMA; USHAURI; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Fedha Bila Ya Wewe Mwenyewe Kujua. Lakini unapopanga kitu, (more…)

NENO LA LEO; Unajua Kwa Nini Unakaa Kwenye Kivuli Leo?

By | April 5, 2015

“Someone’s sitting in the shade today because someone planted a tree a long time ago.” ― Warren Buffett Kuna mtu anakaa kwenye kivuli leo kwa sababu kuna mtu alipanda mti miaka mingi iliyopita. Mambo mengi tunayofaidi leo ni kwa sababu watu waliopita waliandaa mazingira mazuri. Hii ina maana kwamba na (more…)