#TAFAKARI YA LEO; UKIACHA KUFUATILIA YA WATU UTAPATA MUDA WA KUTOSHA…
How much time he saves who does not look to see what his neighbor says or does or thinks. – Marcus Aurelius Ni asubuhi nyingine nzuri kwetu, siku mpya kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunakwenda kufanya (more…)
