Category Archives: MAFANIKIO NA HAMASA

SIRI YA 42 YA MAFANIKIO; Mtazamo Wako Utapima Mafanikio Yako.

By | March 8, 2015

Tafiti za watu waliofanikiwa zinaonesha kwamba mtazamo unachangia asilimian80 ya mafanikio na asilimia 20 ndio inacangiwa na vitu vingine kama juhudi na maarifa. Mtazamo maana yake nini? Maana yake ni kufikiri kama mshindi. Kutegemea kushinda. Kuwa tayari kulipa gharama ya mafanikio. Kuamua ni lazima ufikie mafanikio. Kuamini unaweza kufanikiwa. Kuwa (more…)

SIRI YA 41 YA MAFANIKIO; Shirikiana Na Watu Muhimu Kufikia Ndoto Zako.

By | March 6, 2015

Usikubali ukosefu wa ujuzi au rasilimali kukuzuia wewe kufikia ndoto zako. Kama kuna kitu hujui, au kuna kitu huna tafuta mtu kwenye kujua au mwenye nacho ambaye utaweza kushirikiana nae. Tafuta watu wa kushirikiana nao ambao wana vitu muhimu ambavyo wewe huna. Na ushirikiano wenu utawawezesha wote kufikia mafanikio makubwa. (more…)

SIRI YA 40 YA MAFANIKIO; Chagua Uwanja Sahihi Wa Mapambano

By | March 5, 2015

Utafanikiwa pale utqkapojua uwanja wa mapambano ambao ni bora kwako. Uwanja ambao unaweza kushinda na kufanikiwa. Watu wengi wanacheza kwenye uwanja ambao sio bora kwao. Wanajikuta kwenye kazi wasizozipenda, mahusiano mabovu na hata miungano isiyo na faida kwao. Kama wewe ni mmoja wa watu hawa basi unahitaji kujiweka huru. Unahitaji (more…)

SIRI YA 39 YA MAFANIKIO; Zitumie Vizuri Fursa Zinazojitokeza.

By | March 4, 2015

Fursa ni kama mawimbi ya bahari. Inabidi uanze kulifuata wimbi la sivyo unalikosa. Washidi hawasiti, wanatumia kila fursa inayojitokeza. Ukisita kutumia fursa unaikosa. “There is a tide in the affairs of men, which, taken at the flood, leads on to fortune; omitted, all the voyage of their life is bound in (more…)

Sheria 65 Za Mafanikio, Furaha Na Maisha Bora Kutoka Kwa ROMAN.

By | March 4, 2015

Ili kufikia mafanikio makubwa sana kwenye maisha yaani WORLD CLASS unahitaji kuchagua maisha ambayo utataka kuishi mwenyewe, kuchagua kitu ambacho unapendakukifanya na kuwa na mbinu nyingi za kukuwezesha kuwa bora sana kwa chochote unachoamua kufanya. Kwa upande wako mpaka sasa umeshachagua kitu ambacho unapenda kukifanya kwenye maisha yako na kama (more…)

SIRI YA 38 YA MAFANIKIO; Upende Mchakato Wote.

By | March 3, 2015

Mafanikio hayatatokea mara moja. Kuna mchakato mrefu ambao utaupitia mpaka ufikie mafanikio. Unahitaji kufanya kazi kwa juhudi ja maarifa, kuwa mbunifu na hata kuwa mvumilivu. Kama utachkua hatua yoyote ya mchakato huu utashindwa kufikia mafanikio. Furahia kila hatua unayopitia ya kukufikisha kwenye mafanikio. Maana kila kitu ni muhimu sana kwako. (more…)

TABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Kuweka Kipaumbele Kwenye Maisha Yako.

By | March 3, 2015

Miaka zaidi ya elfu moja iliyopita, kipaumbele pekee cha mwanadamu kilikuwa kula na kujilinda dhidi ya hatari. Katika nyakati hizo chakula kilikuwa kikipatikana kwa kuwinda au kuchimba mizizi. Hivyo mtu aliamka asubuhi akiwa na kipaumbele kikuu ambacho ni kutafuta chakula. Na usiku aliporudi kulala, kipaumbele kilikuwa kujilinda dhidi ya wanyama (more…)

SIRI YA 37 YA MAFANIKIO; Imani Nakupa Nguvu Ya Kuchukua Hatua

By | March 2, 2015

Imani ndio hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio. Kuamini tu kitu kinawezekana ni jambonzuri sana. Baada ya kuamini unaweza kuanza kufanya kazi na kujua utawezaje kufikia lengo lako. Kutamani tu hakuna nguvu yoyote. Ile hali ya NITAWEZAJE KUFANYA inatokana na imani. Unapoamini unawakaribisha watu wengi wakusaidie kwa sababu wanaanza kuwa (more…)

SIRI YA 36 YA MAFANIKIO; Usitengeneze Sababu.

By | March 2, 2015

Watu waliofanikiwa hawatengenezi sababu. Wangeweza kufanya hivyo ila hawataki. Sababu ni kisingizio kinachomsaidia mtu kufia uso wake pale ambapo hazalishi kile alichotarajia kuzalisha. Hakuna mtu anayetaka kusikia sababu zako. Wanataka kujua ni kipi umejipanga kufanya ili kuzalisha kile unachotarajiwa kuzalisha.    “Excuses are a waste of time. Successful people don’t (more…)

SIRI YA 35 YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujijengea Kujiamini.

By | March 1, 2015

1 – Fikiria mawazo chanya tu. 2 – Yabadilishe mawazo hasi kwa mawazo chanya. 3 – Tembea haraka. Tembea kwa dhumuni. 4 – Simama katika hali ya kujiamini, kichwa kiwe juu, angalia mbele, mabega yawe nyuma na tumbo liwe ndani. 5 – Waangalie watu usoni na tabasamu. 6 – Jitambulishe (more…)