Category Archives: NENO LA LEO

Jifunze kila siku kupitia usemi mbalimbali.

NENO LA LEO; Kama Hujui Unakoenda Utaishia Hapa.

By | April 4, 2015

“If you don’t know where you are going, you’ll end up someplace else.” ― Yogi Berra Kama hujui ni wapi unakoenda, utaishia sehemu yoyote ile. Hasara kubwa kwenye maisha ni kuishi maisha ambayo hujui yanakupeleka wapi. Haya ni maisha ambayo hayana malengo na mipango. Ni maisha ya kufanya chochote kinachojitokeza (more…)

NENO LA LEO; Hapa Ndipo Alipo Anayetaka Kukurudisha Chini.

By | April 3, 2015

“Whoever is trying to bring you down is already beneath you.” ― Habeeb Akande Yeyote anayekazana kukurudisha chini, tayari yupo chini yako. Angalia kwa makini kwenye maisha yako, kazi yako na hata biashara yako. Angalia wale watu ambao wanajaribu kukurudisha chini, angalia wale watu ambao wanakukatisha tamaa, angalia wale watu (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Chanzo Cha Wivu.

By | April 2, 2015

“Envy comes from people’s ignorance of, or lack of belief, in their own gifts.” ― Jean Vanier Wivu unatokana na ujunga wa watu, au kushindwa kuamini zawadi zao wenyewe. Unapokuwa na wivu kwa watu wengine maana yake unaona wewe huwezi. Kama unaona huwezi maana yake bado hujajua zawadi iliyopo ndani (more…)

NENO LA LEO; Hiki Ndio Unachohitaji Ili Kugeuza Ndoto Yako Kuwa Uhalisia.

By | April 1, 2015

“To turn your dreams into reality, all your resources, efforts and concentration should be aligned in the same direction.” ― Roopleen Kugeuza ndoto yako na kuwa uhalisia, rasilimali zote ulizo nazo, jitihada zote na umakini wako wote vinahitaji kuwa kwenye uelekeo mmoja. Ni vigumu sana wewe kutimiza ndoto zako kama (more…)

NENO LA LEO; Kitu Kimoja Unachohitaji Kuondoa Ili Kufanikiwa.

By | March 31, 2015

“You crave winning and fear losing instead of just doing. To succeed you must remove your self-imposed limitations.” ― Wayne Gerard Trotman Unatamani kufanikiwa na unahofia kushindwa badala ya kufanya. Ili kufanikiwa unahitaji kuondoa vikwazo ulivyojiwekea mwenyewe. Hakuna ambaye hatamani kufanikiwa, lakini kutamani tu hakutakuletea mafanikio unayotazamia. Watu wengi sana (more…)

NENO LA LEO; Haya Ndio Mambo Matatu Yatakayokuletea Matokeo Ya Kushangaza.

By | March 30, 2015

“Extra miles, extensive preparation and exhaustive efforts usually show astonishing results.” ― Roopleen Kwenda hatua ya ziada, kujiandaa vyema na kuweka juhudi kubwa mara zote kutakuletea matokeo makubwa na ya kushangaza. Jambo lolote unalofanya kwenye maisha yako na ambalo unataka likufikishe kwenye mafanikio makubwa ni muhimu sana uweke mambo haya (more…)

NENO LA LEO; Kama Tayari Una Ndoto Hiki Ndio Unatakiwa Kufanya.

By | March 29, 2015

“If you have a dream, don’t just sit there. Gather courage to believe that you can succeed and leave no stone unturned to make it a reality.” ― Roopleen Kama una ndoto, usikae tu na kufikiri utaifikia. Kusanya ujasiri wa kuamini kwamba unaweza kufanikiwa na usiache jiwe lolote halijageuzwa kwenye (more…)

NENO LA LEO; Hii Ndio Hatari Kubwa Kuliko Zote.

By | March 28, 2015

“Being comfortable with who you are is the ultimate threat.” ― Sean Beaudoin Kuridhika na vile ulivyo ndio hatari kubwa kuliko zote. Hakuna kitu kibaya kwenye maisha yako kama kuridhika na vile ulivyo, kuridhika na hali uliyofikia. Hii ni sumu kubwa sana ya wewe kufikia mafanikio makubwa. SOMA; Katika Kula (more…)

NENO LA LEO; Jambo Muhimu La Kufanya Wakati Unapia Magumu.

By | March 27, 2015

“In the darkest hours we must believe in ourselves.” ― Terry Goodkind Katika nyakati ngumu, unatakiwa kujiamini wewe mwenyewe. Kila mmoja wetu anapitia nykati ngumu kwenye maisha yake. Inaweza kuwa kwenye kazi, kwenye biashara, kwenye familia na hata maeneo mengine muhimu kwenye maisha yako. Huu ni wakati ambapo malengo na (more…)

NENO LA LEO; Kitu Kimoja Kinachoangusha Watu Wengi Kuliko Vingine Vyote.

By | March 26, 2015

“Fear defeats more people than any other one thing in the world.” ― Ralph Waldo Emerson Hofu inaangusha watu wengi kuliko kitu kingine chochote duniani. Hofu ndio inaua ndoto za watu wengi sana. SOMA; Hizi ndio Hofu mbili ulizozaliwa nazo, nyingine ni uongo. Hofu ndio inawafanya wengi washindwe kuchukua hatua (more…)