2485; Haiwezekani mpaka itakapofanyika.
2485; Haiwezekani mpaka itakapofanyika. Kila kitu ambacho hakijawahi kufanyika, hakiwezekani. Hakiwezekani siyo kwa sababu hakiwezekani kweli, ila kwa sababu watu hawajawahi kuona kikifanyika. Hivyo kama kuna kitu unataka kufanya na wengine wanakuambia hakiwezekani, jua siyo kwamba hakiwezekani, ila watu hao hawajawaji kuona kitu hicho kikifanyika. Ni wajibu wako kukifanya ili (more…)
