#TAFAKARI YA LEO; MAZOEA NA MKUMBO…

By | September 28, 2020

“Most people act, not according to their meditations, and not according to their feelings, but as if hypnotized, based on some senseless repetition of patterns.” – Leo Tolstoy Hebu jipe nafasi ya kutafakari kila kitu unachofanya kwenye maisha yako na kujiuliza kwa nini umefanya ulichofanya na kwa namna ulivyofanya? Je (more…)

2097; Yote Huanza Kwa Nia Njema…

By | September 27, 2020

Ni watu wachache sana ambao huwa wanafanya makosa kwa kusudia. Wengi huwa wanaanza na nia njema kabisa, lakini matokeo yanakuja kuwa makosa makubwa na yenye madhara. Mara nyingi tunapofanya maamuzi ya kufanya kitu, huwa tunaamini hatua tunazokwenda kuchukua zitarahisisha zaidi hali kuliko ilivyo sasa. Mfano mtu anapochukua hatua ya kudanganya, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; BURUDANI YENYE MAUMIVU…

By | September 27, 2020

“Blaming others is an entertainment which some people like and cannot restrain themselves from. When you see all the harm this blaming causes, you see that it is a sin not to stop people from practicing this entertainment.” – Leo Tolstoy Kuwalaumu wengine ni moja ya burudani ambayo wengi wanaipenda. (more…)

2096; Huo Muda Zaidi Umeutumia Kufanya Nini?

By | September 26, 2020

Muda ni changamoto kwa kila mtu, kila mtu hana muda na kila mtu anapoteza muda. Yaani ni sawa na kumkuta mtu anakulalamikia hana fedha, lakini wakati huo huo anachukua fedha na kuzitupa. Kwenye fedha inaonekana haraka, lakini kwenye muda haionekani, kwa sababu muda huwa unatuponyoka. Mtu anaweza kupambana apate muda (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAZI NA MATOKEO…

By | September 26, 2020

“If you accomplish something good with hard work, the labor passes quickly, but the good endures; if you do something shameful in pursuit of pleasure, the pleasure passes quickly, but the same endures.” – Musonius Rufus Kama ukikamilisha kitu kilicho sahihi kwa kuweka juhudi kubwa, maumivu ya kazi yanapita, lakini (more…)

2095; Kitu Pekee Anachujua Guru Na Usichojua…

By | September 25, 2020

Wahamasishaji, washauri, viongozi wa dini na watu wengine ambao watu wanawaamini na kuwatumia kama mwongozo kwao katika kufanya maamuzi mbalimbali, wamekuwa wanaonekana ni watu wenye uwezo fulani wa juu kuliko wengine. Kuonesha hilo, wale wenye mafanikio makubwa kwenye kuwashawishi wengi wafuate kile wanachowaambia, wamepewa jina la guru, ikiwa ni neno (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAZI NA KELELE…

By | September 25, 2020

“Hurried work done in irritation attracts the unfavorable attention of others. Real work is always quiet, constant, and inconspicuous.” – Leo Tolstoy Kazi isiyo sahihi, inayofanywa kwa haraka na kelele nyingi, huwa inawavutia wengi na kuonekana ni maarufu. Lakini huwa siyo kazi sahihi na matokeo yake huleta uharibifu kwa wengi. (more…)

2094; Fanya Yako Na Iache Dunia Ifanye Yake…

By | September 24, 2020

Fanya kazi kwa juhudi na maarifa na utafika kwenye mafanikio makubwa. Huu ni ushauri ambao kila mtu anayetaka mafanikio ya uhakika huwa anapewa. Lakini wengi huwa hawauelewi ushauri huu na hivyo kuishia kuumia. Ushauri unaeleza wazi kwamba fanya kazi kwa juhudi na maarifa, ukisisitiza upande wako wewe ni kuweka kazi. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HUWEZI KUJUA KILA KITU…

By | September 24, 2020

“No matter bow big mankind’s store of knowledge seems to me in comparison with our previous ignorance, it is only an infinitely small part of all possible knowledge.” – Leo Tolstoy Haijalishi maarifa tuliyonayo sasa ni mengi kiasi gani, Bado ni sehemu ndogo mno ya maarifa yanayoweza kupatikana. Kadiri tunavyokwenda, (more…)

2093; Thamani Ni Kubwa Kuliko Bei…

By | September 23, 2020

Unaweza kujipa sababu nyingi kwa nini umenunua kitu, kwamba unakipenda, kwamba unakithamini lakini zote hizo ni sababu za juu juu tu. Sababu halisi kwa nini umenunua kitu, ni kwa sababu thamani unayoipata ni kubwa kuliko gharama unazolipia. Yaani thamani yake ni kubwa kuliko bei. Chukua mfano, unataka kununua gari, ukaenda (more…)