1528; Kitu Kimoja Unachopaswa Kuangalia Kwenye Kila Hadithi Ya Mafanikio…

By | March 8, 2019

Huwa tunapenda sana kufuatilia hadithi za mafanikio ya wengine. Zinatupa hamasa na matumaini makubwa kwamba kama wengine wameweza na sisi tunaweza pia. Na tunapoangalia kwamba walianzia chini kuliko sisi, na wakapitia magumu kuliko sisi, basi tunakuwa hatuna sababu kwa nini na sisi tusifanikiwe kama wao. Na hili limefanya hadithi za (more…)

1527; Kama Hutafanya Mabadiliko Sasa…

By | March 7, 2019

Kama hutafanya mabadiliko sasa kwenye maisha yako, hutafanya mabadiliko kabisa kwenye maisha yako. Najua ni rahisi kwako kusema nitaanza kesho, nitaanza nikiwa tayari au nitaanza nikishamaliza kitu fulani. Zote hizo ni njia za kujidanganya, usiukabili ukweli kwamba huwezi au hutaki kuanza, unatafuta sababu ambazo hazitakuumiza wewe. Lakini ukweli unabaki wazi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIAMINI SANA HISIA ZAKO…

By | March 7, 2019

“Heraclitus called self-deception an awful disease and eyesight a lying sense.” —DIOGENES LAERTIUS, LIVES OF THE EMINENT PHILOSOPHERS, 9.7 Ni siku mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Ni fursa nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata katokeo ya tofauti kwetu. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, (more…)

1526; Epuka Sana Kutumia Neno Hili Moja Na Utaona Maajabu Kwenye Maisha Yako…

By | March 6, 2019

Lipo neno ambalo ni rahisi sana kutamka, lakini lina madhara makubwa sana kwa wengi. Neno hilo ni HAIWEZEKANI. Ni rahisi sana kutumia neno hili pale tunapoweka mipango mbalimbali lakini katika utekelezaji tunakutana na vikwazo au changamoto. Pia ni rahisi kutumia neno hili pale tunapowaangalia wengine ambao wamejaribu wakashindwa. Rafiki, hakuna (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIWE MUONGEAJI SANA…

By | March 6, 2019

“In public avoid talking often and excessively about your accomplishments and dangers, for however much you enjoy recounting your dangers, it’s not so pleasant for others to hear about your affairs.” —EPICTETUS, ENCHIRIDION, 33.14 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya (more…)

1525; Njia Sahihi Na Isiyo Sahihi Ya Kuwa Na Furaha Kwenye Maisha…

By | March 5, 2019

Lengo kuu la kila mtu kwenye maisha ni kuwa na furaha. Kila tunachofanya ni kwa mategemeo ya kuwa na furaha zaidi. Hakuna mtu anayeamka asubuhi na kusema leo nataka nikawe na siku ya hovyo kabisa. Kila mtu anategemea kuwa na siku nzuri na yenye furaha. Hata wanaofanya uhalifu kama kuiba (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KILA KITU KINAKUGHARIMU…

By | March 5, 2019

“So, concerning the things we pursue, and for which we vigorously exert ourselves, we owe this consideration—either there is nothing useful in them, or most aren’t useful. Some of them are superfluous, while others aren’t worth that much. But we don’t discern this and see them as free, when they (more…)

1524; Kubali Kwamba Hujui…

By | March 4, 2019

Mwanafalsafa Socrates alichukuliwa kama mtu ambaye alikuwa akijua sana katika enzi alizoishi, na hata mpaka sasa ndivyo ilivyo. Lakini Socrates alipoulizwa kwa nini yeye ni mtu anayejua sana kuliko wengine? Na jibu lake lilikuwa kwamba kitu pekee ambacho yeye anajua ni kwamba hajui chochote. Hivyo kama hajui chochote, kazi yake (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUJITAMBUA NI UHURU…

By | March 4, 2019

“The person is free who lives as they wish, neither compelled, nor hindered, nor limited—whose choices aren’t hampered, whose desires succeed, and who don’t fall into what repels them. Who wishes to live in deception—tripped up, mistaken, undisciplined, complaining, in a rut? No one. These are base people who don’t (more…)