1523; Huwezi Kuyakwepa Wala Kuyatoroka Maisha…

By | March 3, 2019

Maisha tayari ni magumu, lakini sisi wenyewe tumekuwa tunaogeza ugumu wake pale tunapojaribu kuyakwepa au kuyatoroka maisha yetu. Tumekuwa tunatumia muda mwingi kutafuta njia za mkato za kupata tunachotaka, njia ambazo siyo sahihi. Ni baada ya kujaribu njia nyingi, kupoteza nguvu na muda mwingi ndiyo tunajifunza kwamba njia sahihi ni (more…)

1522; Kinachochochea Hofu Na Kuipa Nguvu Zaidi…

By | March 2, 2019

Ni kanuni ya asili kwamba hakuna kitu kinachokua kama hakichochewi. Washa moto na kama hakutakuwa na vichocheo viwili; nishati na hewa ya oksijeni moto huo hautawaka. Kadhalika panda mbegu na kama hakutakuwa na maji na rutuba, mbegu hiyo haitaweza kuota. Kila kitu kwenye maisha kinahitaji kichocheo ili kukua zaidi. Na (more…)

1521; Njia Rahisi Ya Kutokuanza Chochote…

By | March 1, 2019

Kusema ni rahisi, kupanga ni rahisi, lakini kuanza kuchukua hatua ni pagumu. Na hii ndiyo inapelekea wachache sana kuwa ndiyo wachukuaji hatua, na wachache zaidi kuwa wanufaikaje wa zile hatua wanazochukua. Wengi wamekuwa wanaishia na maneno na mipango na wasichukue hatua. Zipo sababu nyingi zinazowazuia watu kuchukua hatua, lakini moja (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SEHEMU YA KUANZA FALSAFA…

By | March 1, 2019

“An important place to begin in philosophy is this: a clear perception of one’s own ruling principle.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 1.26.15 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nyingine bora sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu (more…)

1520; Epuka Tabia Hizi Zinazowazuia Wengi Kujisimamia Wenyewe Na Kupiga Hatua…

By | February 28, 2019

Ukiangalia binadamu kwa ujumla, utagundua tumegawanyika kwenye makundi mawili. Kundi la kwanza ni la wale wanaoweza kujiongoza wenyewe, hawa ndiyo wanaishia kuwa viongozi na kwa wengine pia na wanaofanikiwa sana. Kundi la pili ni wale ambao hawawezi kujiongoza wenyewe, hawa huishia kuwa wafuasi na hawapigi hatua kubwa kwenye maisha yao. (more…)

1519; Tenganisha Hisia Zako Na Fedha…

By | February 27, 2019

Kama hujagundua hili ni kwamba fedha haina hisia, fedha haijali, kwa kifupi fedha haina upande. Fedha ile ile ambayo mtu anaweza kumuua mtu akaiiba, anaweza kuipeleka kutoa sadaka na ikapokelewa bila ya shida yoyote, kwa sababu fedha haibebi alama yoyote kwamba imepatikana wapi. Hili ni jambo muhimu sana tunalopaswa kuelewa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; VINAVYOWASUMBUA WENGINE, VISIWE NA TOFAUTI KWAKO…

By | February 27, 2019

“Of all the things that are, some are good, others bad, and yet others indifferent. The good are virtues and all that share in them; the bad are the vices and all that indulge them; the indifferent lie in between virtue and vice and include wealth, health, life, death, pleasure, (more…)