1503; Jinsi Ya Kupata Maana Ya Maisha Yako…

By | February 11, 2019

Watu wengi wamekuwa wanashindwa kufanikiwa kwenye maisha kwa sababu hawajajua maana ya maisha yao. Wanaendesha maisha yao kwa mazoea, wanarudia yale yale ambayo wanafanya wengine na siku zinaenda lakini hakuna hatua kubwa wanazopiga. Wengi hawapati nafasi ya kujua maana ya maisha yao kwa sababu jamii imewadanganya kuhusu kutafuta maana ya (more…)

1502; Ngazi Za Kuelekea Kwenye Mafanikio Makubwa Na Sifa Mbili Unazopaswa Kuwa Nazo…

By | February 10, 2019

Mafanikio ni sawa na kupanda ngazi, na kila ngazi unayopanda unajisogeza karibu zaidi na mafanikio yako. Hivyo ili kufika kwenye kilele cha mafanikio, lazima uwe tayari kupanda ngazi zote. Kwa sababu kila unapopanda ngazi moja, nyingine inajitokeza mbele yako. Na habari mbaya ni kwamba hakuna lifti, ni lazima uzipande ngazi. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HASIRA NI NISHATI MBAYA…

By | February 10, 2019

“There is no more stupefying thing than anger, nothing more bent on its own strength. If successful, none more arrogant, if foiled, none more insane—since it’s not driven back by weariness even in defeat, when fortune removes its adversary it turns its teeth on itself.” —SENECA, ON ANGER, 3.1.5 Siku (more…)

1501; Chanzo Kikuu Cha Matatizo Yote Unayokutana Nayo Kwenye Maisha Yako…

By | February 9, 2019

Daktari bingwa mmoja wa magonjwa ya akili amewahi kusema kwamba chanzo kikuu cha magonjwa ya akili kwa wengi ni kujaribu kuyakimbia majukumu yao kwenye maisha. Pale mtu anapoukataa uhalisia wa maisha yake, ndipo anapokaribisha magonjwa mbalimbali ya akili. Na hili lina ukweli mkubwa ndani yake, japo yapo magonjwa yenye sababu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO LAZIMA UWE NA MAONI KWENYE KILA JAMBO…

By | February 9, 2019

“We have the power to hold no opinion about a thing and to not let it upset our state of mind—for things have no natural power to shape our judgments.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 6.52 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa bora na ya (more…)

1500; Watu Wanaosubiriwa Kuambiwa Nini Cha Kufanya…

By | February 8, 2019

Kwenye dunia ya sasa, karibu kila mtu anasubiri kuambiwa nini cha kufanya, jinsi gani ya kufikiri na kufanya,  na hata jinsi gani ya kujisikia kwenye siku zao na hata kile ambacho wanafanya. Ni kama dunia nzima inaendeshwa na mfumo mmoja ambao inabidi kila mtu ajihusishe nao ndiyo ajione wa kawaida, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JE HAYO UNAYOFANYA YANAONDOA MAUMIVU?

By | February 8, 2019

“You cry, I’m suffering severe pain! Are you then relieved from feeling it, if you bear it in an unmanly way?” —SENECA, MORAL LETTERS, 78.17 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza (more…)

1499; Panga Kufanya Kitu, Siyo Kutokufanya Kitu…

By | February 7, 2019

Mipango ya kutokufanya kitu, huwa inashindwa mara zote, kwa sababu sisi binadamu huwa ni vigumu sana kwetu kukaa bila ya kufanya kitu. Hivyo unapokuwa unapanga mambo yako, badala ya kupanga nini hutafanya, panga kwanza nini utafanya. Kwenye kila muda wako pangilia nini utafanya na hili litakupa kitu cha kufanyia kazi. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HOFU NI MAUMIVU YA KUJITAKIA…

By | February 7, 2019

“Many are harmed by fear itself, and many may have come to their fate while dreading fate.” —SENECA, OEDIPUS, 992 Tumeipata nafasi nyingine nzuri sana kwetu mwanamafanikio. Ni fursa ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)