1508; Njia Rahisi Kwako Kujiangusha Na Kujikatisha Tamaa Mwenyewe…

By | February 16, 2019

Ni kujilinganisha na watu wengine. Unapojilinganisha na watu wengine, unajishusha chini au kujipandisha juu kwa namna ambayo siyo sahihi kwako. Ukijilinganisha na walio juu yako utajiona wewe hujafanya chochote na hivyo kujiikia vibaya sana. Ukijilinganisha na walio chini yako utajiona umefanya makubwa sana na kuridhika na kuanza kupumzika. Kujilinganisha ni (more…)

1507; Labda Hii Ndiyo Nafasi Ya Mwisho Kwako…

By | February 15, 2019

Zipo sababu nyingi sana za wewe kufanya mambo sahihi, kuwa mwema kwa wengine na kufanya kila ambacho umepanga kufanya. Lakini moja ya sababu kubwa, na ambayo inaweza kukusukuma zaidi ni kufikiria huenda nafasi uliyonayo sasa ndiyo ya mwisho kwako. Kwa kujua kwamba hutapata nafasi nyingine ya kufanya kazi au biashara (more…)

1506; Kwa Nini Unapenda Kulaumu Ushauri Ambao Wengine Wamekupa…

By | February 14, 2019

Mara nyingi utawasikia watu wakilaumu ushauri ambao walipewa na watu wengine, pale wanapokuwa wameufanyia kazi halafu ukaleta matokeo ambayo ni tofauti na waliyotarajia. Hapa unaweza kujiuliza je ushauri ni lazima ufanyiwe kazi, kwani mtu anapokupa ushauri anakuambia lazima uufanyie kazi? Majibu ni hapana, ushauri, na unapaswa kuutafakari kisha kuona kama (more…)

#TAFAKARI YA LEO; FIKIRI KABLA YA KUTENDA…

By | February 14, 2019

“For to be wise is only one thing—to fix our attention on our intelligence, which guides all things everywhere.” —HERACLITUS, QUOTED IN DIOGENES LAERTIUS Ni jambo la kushukuru sana kwa nafasi hii nyingine nzuri tuliyoipata leo. Hatujaipata nafasi hii kwa sababu tuna akili au tu wajanja sana, bali tumeipata kama (more…)

1505; Uhakika Wa Asilimia 100…

By | February 13, 2019

Kikwazo kikubwa ambacho kimekuwa kinawazuia watu wengi kuchukua hatua ni kukosa uhakika wa asilimia 100. Wengi wamekuwa wanapenda kupiga hatua na kufikia mafanikio makubwa, lakini pale wanapotaka kufanya hivyo, wanaanza kuingiwa na hofu wanapouangalia uhalisia. Kwa kuwa binadamu hatupendi hatari, tunapenda kufanya vitu ambavyo tuna uhakika navyo. Na hapo ndipo (more…)

1504; Sheria Ya Kumi Tatu Kwenye Kufanya Maamuzi…

By | February 12, 2019

Pale unapokuwa njia panda katika kufanya maamuzi, ipo sheria inayoweza kukurahisishia zoezi la kufanya maamuzi yako. Sheria hiyo ni ya kumi tatu, ambapo unajiuliza maswali matatu yenye kumi ndani yako na yatakuwezesha kujua kipi sahihi kufanya. Swali la kwanza ni je kitu hiki kitakuwa muhimu kwangu dakika kumi zijazo? Hapa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; LINDA AMANI YA AKILI YAKO.

By | February 12, 2019

“Keep constant guard over your perceptions, for it is no small thing you are protecting, but your respect, trustworthiness and steadiness, peace of mind, freedom from pain and fear, in a word your freedom. For what would you sell these things?” —EPICTETUS, DISCOURSES, 4.3.6b–8 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii (more…)