1498; Jinsi Ya Kuwa Toleo Bora Kabisa La Wewe Mwenyewe…

By | February 6, 2019

Zama hizi kila kitu kina matoleo mengi sana, na matoleo yanatoka kila baada ya muda mfupi. Ukinunua simu mpya leo, ambayo ndiyo toleo jipya kabisa, miezi sita ijayo kutakuwa na matoleo mengine mapya ya simu hiyo hiyo kiasi kwamba ile uliyonayo unaanza kuiona kama haifai tena. Mfumo wa kuja na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USITAFUTE UGOMVI…

By | February 6, 2019

“I don’t agree with those who plunge headlong into the middle of the flood and who, accepting a turbulent life, struggle daily in great spirit with difficult circumstances. The wise person will endure that, but won’t choose it—choosing to be at peace, rather than at war.” —SENECA, MORAL LETTERS, 28.7 (more…)

#TAFAKARI YA LEO; DHIBITI MIHEMKO YAKO…

By | February 5, 2019

“Don’t be bounced around, but submit every impulse to the claims of justice, and protect your clear conviction in every appearance.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 4.22 Tumeiona siku nyingine nzuri sana leo mwanamafanikio. Ni jambo la kushukuru sana kuiona siku hii mpya na ya kipekee. Na shukrani iliyo bora ni kuiishi (more…)

1496; Usipotezwe Na Waliopotea…

By | February 4, 2019

Jambo kubwa na linalosikitisha kwenye maisha ni pale watu ambao wapo kwenye njia sahihi, wanakubali kupotezwa na wale ambao hawapo kwenye njia sahihi. Hivi ndivyo ambavyo watu wengi wamekuwa wanapotezwa na kuondolewa kwenye njia ya mafanikio makubwa. Mtu anakuwa na ndoto kubwa, anajiweka malengo na mipango na anaanza kufanyia kazi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; JINSI YA KUTOYUMBISHWA NA CHOCHOTE…

By | February 4, 2019

“Who then is invincible? The one who cannot be upset by anything outside their reasoned choice.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 1.18.21 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni fursa bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi (more…)

1495; Mazoezi Manne Yatakayokuwezesha Kujiimarisha Kifedha…

By | February 3, 2019

Yapo mazoezi manne muhimu sana yatakayokuwezesha kujiimarisha kifedha. Kwa kufanya mazoezi haya utaweza kuongeza kipato chako bila ya kujali ni nini unachofanya kwa sasa. Zoezi la kwanza ni mategemeo chanya. Watu wengi wamekuwa wanafanya kitu au kuomba kitu, lakini ndani yao wanajiambia hawatapata. Wanakuwa na matarajio hasi kwamba hawatapata au (more…)

1494; Dalili Tatu Kwamba Unakua Kuelekea Mafanikio Makubwa…

By | February 2, 2019

Ukuaji umekuwa kikwazo cha mafanikio ya wengi. Wengi wamekuwa wanaanza na malengo makubwa na kuweka juhudi kubwa mwanzoni, lakini wanafika mahali ambapo wanafanya kwa mazoea na hakuna ukuaji tena. Hapa ndipo wengi wanapokwama na kuwa na maisha ya mazoea huku wakipata matokeo ambayo wamezoea kupata. Hapa ndipo mtu anapokuwa kwenye (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MTAZAMO SAHIHI WA AKILI YAKO….

By | February 2, 2019

“Frame your thoughts like this—you are an old person, you won’t let yourself be enslaved by this any longer, no longer pulled like a puppet by every impulse, and you’ll stop complaining about your present fortune or dreading the future.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 2.2 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii (more…)