1493; Mafanikio Yako Yatatengeneza Makundi Haya Matatu Ya Watu, Yaelewe Yasiwe Kikwazo Kwako…

By | February 1, 2019

Kabla hujafanikiwa, watu wengi hawatasumbuka na wewe, unaweza kuishi utakavyo na ukasema chochote utakacho na watu watakupuuza tu. Kwa sababu huna mafanikio makubwa wengi hawakupi uzito, na chochote utakachosema hawatasumbuka nacho. Kwa kifupi kabla hujafanikiwa unakuwa na maisha huru zaidi inapokuja kwenye mahusiano yako na watu wengine. Lakini unapofanikiwa, mambo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NGUVU ZAKO ZIPO KWENYE UTULIVU WAKO…

By | February 1, 2019

“Keep this thought handy when you feel a fit of rage coming on—it isn’t manly to be enraged. Rather, gentleness and civility are more human, and therefore manlier. A real man doesn’t give way to anger and discontent, and such a person has strength, courage, and endurance—unlike the angry and (more…)

UKURASA WA 1492; Njia Bora Ya Kuyaishi Maisha Haya Mafupi Tuliyopewa…

By | January 31, 2019

Ukilinganisha na umri ambao dunia imekuwepo na itaendelea kuwepo, maisha yetu ni mafupi sana. Hata kama utaishi miaka mia moja, ukilinganisha na mabilioni ya miaka ambayo dunia imekuwepo, muda tunaoishi ni kama tone la maji kwenye bahari. Kwa muda huo mfupi, wapo watu ambao wameweza kuacha alama kubwa hapa duniani, (more…)

1491; Kanuni Muhimu Ya Kukuwezesha Kukua Kila Siku Na Kutokuchoka Unachofanya…

By | January 30, 2019

Watu wengi wanapokuwa wanaanza kazi au biashara mpya wanakuwa na hamasa kubwa sana mwanzoni. Japo mwanzo unakuwa mgumu, lakini watu hao wanakuwa na msukumo makubwa wa kujifunza na kuweza kufanya vizuri kile kipya wanachoanza. Kadiri muda unavyokwenda wanajua kila wanachopaswa kujua na hapo ndipo tatizo kubwa linapoingia, wanazoea kile wanachofanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HUHITAJI KUJUA KILA KINACHOENDELEA…

By | January 30, 2019

“If you wish to improve, be content to appear clueless or stupid in extraneous matters—don’t wish to seem knowledgeable. And if some regard you as important, distrust yourself.” —EPICTETUS, ENCHIRIDION, 13a Siku mpya, Siku bora na siku ya kipekee sana kwetu. Ni nafasi nyingine nzuri na ya kipekee sana kwetu (more…)

1490; Kilichopo Ndani Ya Fikra Za Washindi…

By | January 29, 2019

Washindi wote wana vitu vilivyopo ndani ya fikra zao ambavyo vinawawezesha kupiga hatua zaidi kwenye maisha yako na kupata kile wanachotaka. Washindi wote wanaamini kwenye kile wanachofanya na wana uhakika wa kupata matokeo mazuri. Hawafanyi kwa kubahatisha au kutegemea muujiza, wanajua kile sahihi kufanya na kinacholeta matokeo sahihi. Washindi wote (more…)

1489; Rasilimali Nne Ulizonazo Ambazo Ukizitumia Vizuri Zitakupa Chochote Unachotaka…

By | January 28, 2019

Kuweza kupata chochote unachotaka ni kauli kubwa sana ambayo wachache sana wanaweza kuwa na imani nayo. Wengi wanaamini kuna ukomo ambao uko kwao, kwamba kuna vitu hawawezi kuvipata hata iweje. Lakini ukweli ni kwamba, kwa chochote unachojiambia huwezi kupata au kufikia, kuna mtu alianzia hapo ulipo wewe, na hata wakati (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WAANGALIE WENYE HEKIMA…

By | January 28, 2019

“Take a good hard look at people’s ruling principle, especially of the wise, what they run away from and what they seek out.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 4.38 Tunapaswa kushukuru sana kwa nafasi hii nyingine ya kipekee tuliyoipata leo. Tumeiona siku hii siyo kwa nguvu au ujanja wetu, bali kwa bahati (more…)