1488; Kula Mara Moja Au Kuoga Mara Moja…
Hivi ni vitu viwili ambavyo lazima uvifanye kila siku, hata kama hujisikii kufanya, hata kama huna muda wa kuvifanya, utatenga muda na kuvifanya. Kila siku. Lakini inapokuja kwenye mambo mengine muhimu sana ambayo tunapaswa kuyafanya kila siku, tunaanza kujipa sababu kwa nini hatuwezi kufanya kila siku. Chukulia kitu muhimu kama (more…)
