BIASHARA LEO; Anza Kufanya Mauzo Rahisi Kabla Ya Magumu…

By | July 28, 2018

Wakati mzuri kabisa wa kumuuzia mteja mgumu kununua kwako, ni baada ya kuwa umekamilisha mauzo na mteja mwingine. Unapokuwa umekamilisha mauzo unakuwa na hali ya kujiamini na unakuwa na ushawishi mkubwa sana. Hivyo kama una mteja ambaye ni mgumu kununua kwako, anza kuwauzia wateja ambao ni rahisi kununua kwako, kisha (more…)

UKURASA WA 1305; Ni Unachofanya Baada Ya Maumivu…

By | July 28, 2018

Upo usemi kwamba kisichokuua kinakufanya kuwa imara zaidi. Yaani kama umekutana na kitu kibaya kabisa kwenye maisha yako, umekutana na maumivu ambayo ni makubwa sana, lakini hukufa, yaani umeendelea kuwa hai, basi unakuwa imara zaidi baada ya tukio hilo kuliko ulivyokuwa kabla ya tukio hilo. Hii ni kauli ambayo tunaweza (more…)

BIASHARA LEO; Uliwezaje Kuwashawishi Marafiki Zako, Hapo Ndipo Ilipo Siri Ya Kuwashawishi Wateja Wako…

By | July 27, 2018

Nianze na swali hili muhimu sana, je umewahi kuwashawishi marafiki zako au watu wako wa karibu wakafanya kitu fulani ambacho walikuwa hawajafanya na baadaye wakakushukuru sana? Labda uliwashawishi kwenda kula kwenye mgahawa fulani, ambao walikuwa na wasiwasi nao, ukawapa uhakika, wakaenda kula na baadaye wakakushukuru sana. Au labda ni kipindi (more…)

UKURASA WA 1304; Ukuaji Halisi Unaanzia Ndani Yako…

By | July 27, 2018

Upo usemi kwamba yai likipasuliwa kwa nguvu ya nje kiumbe aliyepo ndani anakufa. Lakini likipasuliwa kwa nguvu ya ndani, kiumbe aliyepo ndani anaishi. Ni usemi unaoeleza vizuri sana namna asili inavyofanya kazi. Kila kiumbe hai, kina nguvu ya uhai ndani yake, kina nguvu ya ukuaji ndani yake. Na ili kiumbe (more…)

BIASHARA LEO; Usikimbie Kabla Hata Wateja Hawajakujua Vizuri…

By | July 26, 2018

Umewahi kupita mahali, ukaona biashara mpya imefunguliwa, ukajiambia siku moja utaenda kununua pale, utakapokuwa na uhitaji. Unapita tena siku nyingine unakuta biashara hiyo ipo, unazidi kuamini suluhisho lako limepatikana. Lakini inatokea siku una uhitaji, unaenda kwenye biashara hiyo na kuambiwa ilishafungwa siku nyingi? Kila mmoja wetu amewahi kukutana na hali (more…)

UKURASA WA 1303; Kama Hujisikii Vizuri, Sababu Ni Huzalishi…

By | July 26, 2018

Kwenye hii dunia, kuna makundi mawili ya watu, Kundi la kwanza ni wazalishaji, hawa ni wale wanaofanya mambo yatokee, wanaozalisha vitu, mawazo au kutoa matokeo fulani ambayo watu wanayatumia kwenye maisha yao. Wazalishaji wanaleta kitu pasipo na kitu, wanaleta uwezekano pasipo na uwezekano, na wanawapa watu wengine kitu cha kufanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; AMINI KWENYE KILE UNACHOFANYA…

By | July 26, 2018

Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nyingine nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku ya (more…)