UKURASA WA 1150; Kama Kazi Yako Haijawahi Kukosolewa Na Yeyote…
Huenda unaifanya kwa kawaida sana, kwa namna ambayo kila mtu anafanya, na hivyo hakuna yeyote anayeshangazwa na jinsi unavyoifanya kazi yako. Sasa unaweza kufikiria hilo ni jambo bora, lakini sasa, ni hasara na hatari kubwa, kwa sababu ni kiashiria kwamba hufanyi makubwa na pia hutafika mbali. Kama kazi yako haijawahi (more…)
