UKURASA WA 1000; Siku Elfu Moja (1000) Za Kuandika Kila Siku Bila Ya Kuacha Hata Siku Moja.
Habari za leo rafiki yangu? Lao Tzu aliyekuwa mwanafalsafa wa china amewahi kunukuliwa akisema safari ya maili elfu moja huanza na hatua moja. Hichi ndicho kilichotokea tarehe 01/01/2015 ambapo safari ya kuandika makala za KURASA kila siku ilianza, na tangu siku hiyo sijawahi kuacha hata siku moja bila ya kuandika. (more…)
