UKURASA WA 849; Kuhodhi Ukweli…

By | April 28, 2017

Kuna vitu vingi kwenye maisha ambavyo watu wanaweza kuhodhi, na vikawapa faidia dhidi ya wengine. Kutokana na kuwahi kwao, wanazipata nafasi au fursa nzuri ambazo wanaokuja baadaye hawawezi kupata kama wao. Kwa mfano mtu ambaye anahodhi ardhi sehemu fulani, labda kwa kuwahi kwake au kwa kuinunua kwa bei rahisi mapema. (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; TEGEMEA USICHOTEGEMEA….

By | April 27, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUTEGEMEA USICHOTEGEMEA…. Kila mtu (more…)

UKURASA WA 848; Mteja Hatakuonea Huruma…

By | April 27, 2017

Unaweza ukatumia muda, nguvu na rasilimali zako nyingi katika kuifanya biashara yako kuwa bora zaidi, lakini kama kile unachofanya hakiongezi thamani kwa mteja, mteja hatahangaika na wewe, atakuacha na kwenda anakopata thamani anayotaka. Ni muhimu sana kulijua hili kwa sababu nimekuwa naona watu wanawalalamikia wateja, kwamba wateja hawana shukrani, kwamba (more…)

UKURASA WA 847; Wenye Uhitaji Zaidi Ndiyo Wasiotaka…

By | April 26, 2017

Kuna watu ambao wanahitaji sana msaada, lakini jaribu kutaka kuwasaidia, watakataa kabisa kwamba hawahitaji msaada wako. Hili ni jambo la kushangaza sana, lakini ndivyo ukweli ulivyo. Kadiri mtu anahitaji kitu sana, ndivyo inavyokuwa vigumu kwake kukikubali. Kwa mfano, mtu asiyejua, au anayefanya kitu kwa viwango vya hovyo sana, ukijaribu kumwelewesha (more…)

💥TAFAKARI YA LEO; JIFUNZE KUUZA….

By | April 26, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu, Hongera kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa sana. Ni kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutawexa kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUJIFUNZA KUUZA…. Kama (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NEVER DROP OUT…..

By | April 25, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili kupata matokeo makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NEVER (more…)

UKURASA WA 846; Usifanye Vitu Hivi…

By | April 25, 2017

Rasilimali moja ambayo ina ukomo mkubwa na muhimu sana kwenye mafanikio ni muda. Muda ni muhimu, lakini pia muda ni mchache, masaa 24 kwa siku, hakuna nyongeza, hata ufanye nini. Lakini katika muda huu, wapo wanaofanikiwa, na wapo wanaoshindwa kufanikiwa. Wapo wanaoweza kufanya yale muhimu kwao na wapo ambao muda (more…)

UKURASA WA 845; Kabla Ya Sisi Na Baada Ya Sisi…

By | April 24, 2017

Kabla ya sisi palikuwepo na maisha hapa duniani. Walikuwepo watu ambao walikuwa na matatizo na changamoto zao. Walikuwa wakikazana kuifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi ya kuishi. Na walikuwa wakiweka kila juhudi kuhakikisha wanapata kile walichotaka. Leo hii wengi sana hawapo nasi tena. Baada ya sisi watakuwepo watu pia hapa (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NANI AMEKULAZIMISHA?

By | April 23, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki, Ni siku nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NANI AMEKULAZIMISHA? Moja ya (more…)

UKURASA WA 844; Hakuna Hali Ya Kudumu….

By | April 23, 2017

Tunapopita katika matatizo na changamoto, ni rahisi sana kusahau kwamba hakuna hali inayodumu kwenye maisha yetu, ni rahisi kuamini kwamba mambo yatakuwa hivyo na yatazidi kuwa mabaya zaidi kadiri siku zinavyokwenda. Lakini huo siyo uhalisia, sheria za asili haziruhusu jambo lolote kudumu milele. Ndiyo maana hata jua liwe kali kiasi (more…)