💥 #TAFAKARI YA LEO; NGUMU NA ADIMU….

By | April 22, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki, Ni siku nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi ya kipekee kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NGUMU NA ADIMU… (more…)

UKURASA WA 843; Chimbuko La Matatizo Yote Ya Binadamu….

By | April 22, 2017

Charles Munger, bilionea mwekezaji, amewahi kunukuliwa akisema kwamba matatizo yote ya binadamu chimbuko lake ni mtu kushindwa kukaa kwa utulivu akiwa ndani ya chumba peke yake. Alikuwa akishauri kuhusu uwekezaji na kusema kwamba siri kuu ya mafanikio kwenye uwekezaji ni utulivu na uvumilivu. Na hilo ndilo ambalo wengi huwa hawawezi (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; DO YOUR WORK…

By | April 21, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo makubwa na kufikia ndoto zetu kubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari (more…)

UKURASA WA 842; Hatua Kubwa Kubwa…

By | April 21, 2017

Kuchukua hatua pekee haitoshi, unahitaji kuchukua hatua kubwa kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa na kuweza kufikia ndoto zako kubwa. Kwa sababu wapo watu ambao wamekuwa wanasema nimefanya kila kitu, lakini bado biashara yangu haikui, au bado kazi yangu hainilipi. Unapochunguza kwa undani, unagundua kwamba hatua wanazochukua ni ndogo sana. (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; LET GO OF REACTION…

By | April 20, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni ile siku ambayo jana ulisema kesho nitafanya. Kesho yenyewe ndiyo hii, hivyo basi tunza ahadi yako. Tafadhali sana usiseme tena kesho utafanya, hakuna kesho nyingine zaidi ya leo. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa (more…)

UKURASA WA 841; Lawama Na Kukosolewa…

By | April 20, 2017

Wakati mwingine kinachowapa watu hofu ya kufanya siyo kushindwa, bali lawama na kukosolewa. Wakati mwingine watu wanaacha kufanya ili kuepuka lawama, iwapo mambo yatakwenda tofauti na watu walivyotegemea. Na pia watu wanahofia kukosolewa na wengine kwa namna watakavyofanya. Lawama na kukosolewa ni vitu ambavyo unapaswa kujifunza kuishi navyo, kwa sababu (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ULEVI WA MAFANIKIO…

By | April 19, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa sana. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ULEVI WA MAFANIKIO…. Mafanikio (more…)

UKURASA WA 840; Chochote Usichokijua Ni Kigumu…

By | April 19, 2017

Huwa nawahoji sana watu ambao wana malengo na ndoto kubwa, lakini hawajachukua hatua yoyote ili kuweza kufikia malengo na ndoto hizo. Na swali langu kubwa huwa ni kwa nini mpaka sasa hujafika pale unapotaka kufika, au kwa nini mpaka sasa hujaanza. Na majibu yote huwa yanaelekea sehemu moja, ni vigumu (more…)

UKURASA WA 839; Haijalishi Hali Ya Uchumi Ikoje, Fursa Za Kutengeneza Fedha Bado Ni Nyingi…

By | April 18, 2017

Popote ambapo watu wapo, ipo fursa ya kutengeneza fedha, bila ya kujali hali ya uchumi ni ngumu kiasi gani, bila ya kujali thamani ya fedha imepanda au kushuka kiasi gani. Popote penye watu pana fursa kwa sababu watu wana matatizo, na yeyote awezaye kuwatatulia watu matatizo yao na kuwapa kile (more…)