UKURASA WA 822; Badili Hadithi Unayoishi…
Unafanya unachofanya sasa, kutokana na hadithi ambayo umechagua kuishi. Inawezekana hadithi huyo umetengeneza mwenyewe au umeibeba kutoka kwa wengine. Mabadiliko kwa wengi yanakuwa magumu kwa sababu wanajaribu kubadili wanachofanya, au kubadili tabia kabla ya kubadili ile hadithi wanayoiishi. Hadithi ina nguvu kubwa sana kwetu, na inatufanya tuendelee kuwa pale ambapo (more…)
