UKURASA WA 1108; Maumivu Ni Sehemu Ya Mchezo…

By | January 12, 2018
Huwa tunapenda kufurahia michezo mbalimbali, ambapo wachezaji wanacheza na sisi tunaburudika. Lakini katika kila mchezo, watu wanaumia. Iwe ni mchezo wa ngumi, wachezaji wanapigana na wanaumia. Hata mchezo wa mpira wa miguu au mikono, wachezaji wamekuwa wanaumia uwanjani. Pamoja na maumivu hayo, wachezaji hawaachi kucheza. Watauguza majeraha na kurudi tena

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In