UKURASA WA 1109; Kuchukua Hatua Ni Bora Kuliko Kuwa Sahihi…

By | January 13, 2018
Watu wanajifunza sana, watu wanakutana na vitu vipya, ambavyo vinaweza kubadili sana maisha yao, iwapo watachukua hatua. Lakini wanasubiri, wanasubiri kwa sababu hawajapata uhakika wa kile wanachokwenda kufanya. Hawajajua kama ni hatua sahihi kuchukua. Wanajiona hawajakamilika, hivyo wanasubiri. Kwa namna hii, wanajikuta hawachukui hatua yoyote, au wanapokuja kufikia hatua ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In