HAKUNA JIBU MOJA SAHIHI

By | July 17, 2013
  Shuleni tumefundishwa kuchagua jibu moja sahihi, unapewa swali na majibu mengi ila jibu moja tu ndio sahihi. Kwenye maisha ni tofauti kabisa, hakuna jibu mja sahihi, kuna majibu mengi sahihi na mengi ambayo sio sahihi. Hakuna njia moja ya kufanikiwa kwenye maisha, zipo njia nyingi sana, baadhi zitakupeleka pazuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In