NENO LA LEO; Kuhusu Kuendesha Siku Au Kuendeshwa na Siku.

By | November 28, 2014
Either you run the day, or the day runs you. –Jim Rohn Kwenye siku yako ni labda unaiendesha siku au siku inakuendesha wewe. Unaiendesha siku pale ambapo unakuwa na malengo na mipango yako ambayo unaifuata. Unaendeshwa na siku pale ambapo unafanya kile kinachotokea mbele yako. NINAJUA UNAJUA UNACHOTAKIWA KUFANYA, FANYA

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In