Njia tano unazoweza kutumia kuongeza kipato chako kwenye biashara.

By | September 22, 2014
Moja ya changamoto ambazo zinawakabili wajasiriamali wengi ni kipato kidogo kutoka kwenye ujasiriamali wao au biashara zao. Watu wengi wamekuwa kwenye ujasiriamali kwa muda mrefu ila hawaoni mabadiliko makubwa kwenye kipato chao. Hali hii imefanya biashara za watu wengi kudumaa na hatimaye kufa kabisa. Leo tutajadili njia tano unazoweza kutumia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz