SIKU YA 24; Mbinu Za Mafanikio Kwa Wanawake.

By | September 24, 2014
Jamii nyingi zimekuwa zinamuweka mwanamke katika nafasi ya chini sana ya kuweza kufikia mafanikio. Ukiangalia nchi zote duniani, na hata makampuni makubwa sana duniani ni machache sana ambayo yanaongozwa na wanawake. Hata katika biashara za kawaida, viongozi wengi wa biashara ni wanaume. Pamoja na harakati nyingi ambazo zimefanyika kuinua hali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SIKU 30 ZA MAFANIKIO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz