NENO LA LEO; Mambo Yanapokuwa Magumu Usiache Kitu Hiki Muhimu.

By | January 21, 2015
”When it is obvious that the goals cannot be reached, don’t adjust the goals, adjust the action steps.” Pale unapoona wazi kwamba huwezi kufikia malengo yako, usibadili malengo yako bali badili mipangilio yako. Lengo lako sio kitu cha kubadili kwa sababu umekutana na kikwazo, angalia ni jinsi gani unaweza kuboresha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In