UKURASA WA 129; Ugumu Wa Mwanzo Mgumu…

By | May 9, 2015
Wahenga walisema mwanzo mgumu, ni kweli sio, kwamba unapotaka kuanza jambo lolote, mwanzo huwa mgumu sana. Hali hii husababisha watu wengi kushindwa kufanya mambo makubwa kwenye maisha yao. Umeshindwa kuanza biashara ambayo umekuwa unaifikiria kwa muda mrefu. Umeshindwa kuanza kuchukua hatua ya kuboresha maisha yako yapo unajua kila hatua unayotakiwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In