Kama Unayapigania Mafanikio, Watu Watakuchukia, Usiumizwe na Hilo.

By | August 5, 2015
Wakati wewe unakazana kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio, kuna watu watakuchukia bila sababu yoyote ile. Wakati wao wanapoteza muda na wewe ukaacha kupoteza nao muda, watakuchukia. Wakati wao wanafanya matumizi makubwa kuliko vipato vyao na wewe ukakwepa hilo, watakuchukia. Wakati wao wanafanya kazi kwa kawaida tu na hawamalizi mpaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: UJUMBE WA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz