UKURASA WA 218; Aina Nyingine Za Uvivu.

By | August 6, 2015
Kwa kawaida huwa tunachukulia uvivu kwa vile vitu ambavyo ni rahisi kuonekana. Mtu ambaye hamalizi majukumu yake kwa wakati ni mvivu. Mtu ambaye haonekani kwenye kazi yake kwa muda wa kazi huyo ni mvivu. Na pia mtu ambaye anakwepa majukumu yake ya kazi huyo ni mvivu. Kwa uelewa huu wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In