UKURASA WA 230; Kipimo Cha Kujua Kama Kweli Unafanya Kile Ulichokusudiwa Kufanya.

By | August 18, 2015
Kila mmoja wetu kuna vitu amekusudiwa kufanya hapa duniani. Tuna uwezo na vipaji tofauti tofauti na hivyo kuweza kufanya vitu tofauti. Mafanikio makubwa yanakuja pale mtu anapofanya kile ambacho amekusudiwa kufanya, kile ambacho kinaendana na uwezo wake na hata vipaji vyake. Lakini kwa bahati mbaya sana, huwa hatuzaliwi na karatasi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In