Naanza Kujifunza Lugha Ya Kilatini Na Kwa Nini Nafanya Hivyo.

By | August 27, 2015
Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri sana, na najua unafanyia kazi yale ambayo unajifunza ili maisha yako yaweze kuwa bora sana. Hongera sana kwa hilo, na ninakusihi sana usifike mahali na kuona kwamba haiwezekani halafu ukarudi kwenye yale maisha ya zamani. Kama umechagua maisha mapya hakikisha unaendelea nayo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: ONGEA NA COACH MAKIRITA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz