UKURASA WA 251; Ni Wewe…

By | September 8, 2015
Ni rahisi sana kulaumu wengine pale mambo yanapokwenda vibaya. Ni rahisi sana kulalamikia chochote unachoweza pale unaposhindwa kufikia ulichotaka kufikia. Lakini mara nyingi na kwa sehemu kubwa sana ni wewe uliyesababisha kufika hapo ulipofika sasa. KABLA HUJAMNYOOSHEA MWINGINE KIDOLE, JUA YA KWAMBA WEWE NDIO MHUSIKA MKUU. Ni wewe uliyeamua kula

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz