UKURASA WA 281; Siyo Kwa Ajili Yako….

By | October 8, 2015
Unapofanya kitu cha tofauti, iwe ni kwenye kazi, biashara na hata maisha ya kawaida, kuna watu wachache watakuelewa na wengi sana hawatakuelewa. Hili sio tatizo kubwa. Tatizo kubwa ni hili, wale wengi ambao hawatakuelewa watatumia nguvu yao ya wingi kukuzuia wewe kuendelea kufanya unachofanya sasa. KUWA NA UDHUBUTU WA KUFANYA

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In