UKURASA WA 282; Kuwa Makini…

By | October 9, 2015
Kukosa umakini kwenye vitu ambavyo tunafanya kumekuwa chanzo cha matatizo makubwa sana. Watu wengi wamepata hasara kubwa, watu wengi wamepoteza maisha yao, watu wengi wamejikuta kwenye hali ngumu kwa sababu tu kuna mtu hakuwa makini kwenye kutimiza majukumu yake. FANYA KAZI YAKO KWA UMAKINI MKUBWA. Na kwa nini watu hawapo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In