UKURASA WA 330; Unapitwa….

By | November 26, 2015
Tunaishi kwenye dunia ambayo tunasukumwa sana kuwa wanunuaje, wateja. Tunalazimika kununua vitu vingi ambavyo hata hatuna matumizi navyo, na kama tunayo basi sio muhimu sana. Tunalazimika kununua kwa sababu tu tunaogopa tusipitwe. Na hapa ndipo utumwa mkubwa wa dunia unapoanzia. Sio vibaya kununua, ila kununua kwa msukumo ni utumwa mkubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In