UKURASA WA 353; Kipimo Sahihi Cha Mafanikio Yako….

By | December 19, 2015
Pamoja na changamoto nyingi zinazotuzuia kufikia mafanikio, kipimo nacho kimekuwa ni changamoto kubwa. Kipimo unachotumia kwenye kupima mafanikio yako, kinaweza kukusukuma zaidi au kinaweza kukukatisha tamaa. Aina za vipimo vya mafanikio. Kuna aina mbili za vipimo vya mafanikio, moja inakusukuma kwenda mbele na nyingine inakukatisha tamaa. Aina ya kwanza ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz