UKURASA WA 376; Acha Kujificha…

By | January 11, 2016
Ni asili ya binadamu kujificha pale anapokutana na jambo ambalo anaona haliwezi, au linamzidi, au hayupo tayari kuweka juhudi kubwa kwenye jambo hilo. Na kwa sababu hataki kuonekana na wengine kwamba jambo lile hawezi, au haweki juhudi, basi mtu hujificha. Unapoona unahitajika kuchukua hatua kubwa kwenye biashara yako na wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz