UKURASA WA 382; Unahitaji Matatizo Mapya….

By | January 17, 2016
Sikuombei mabaya lakini kama unashindwa kujibadilisha wewe mwenyewe, basi kuna kitu kimoja kitakachoweza kukubadilisha. Na kitu hiko ni matatizo mapya. Unahitaji matatizo mapya ambayo yatakufanya ufikiri tofauti na unavyofikiri sasa. Unahitaji matatizo mapya yatakayokusukuma ufanye kuliko unavyofanya sasa. Unahitaji matatizo mapya yatakayokupa uthubutu wa kuchukua hatua licha ya kujawa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz