UKURASA WA 381; Msingi Umefichwa….

By | January 16, 2016
Kama umewahi kuona jengo lolote kubwa, najua ulishaona, ila unapokuta jengo hilo tayari limekamilika, huwezi kujua msingi ni mkubwa kiasi gani. Hii ni kwa sababu msingi umefichwa. Kama umewahi kuona mwanzo wa ujenzi wa majengo makubwa sana, msingi pia huwa unakuwa mkubwa sana, na unazidi kufichwa, yaani unakwenda mbali zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In