BIASHARA LEO; Mteja Njoo Na ‘Chenji’ Yako.

By | February 4, 2016
Utawasikia wafanyabiashara wengi wadogo wakilalamika kwamba biashara ni ngumu sana. Watakupa kila sababu kwa nini biashara zao hazisongi mbele. Na unaweza ukakubaliana nao kabisa. Ila sasa nenda kwenye biashara hiyo asubuhi, nenda na noti ya shilingi elfu kumi na unataka kitu cha shilingi mia tano. Unaweza hata ukatukanwa, mfanyabiashara atakushangaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz