UKURASA WA 435; Vitu Ambavyo Hakuna Yeyote Atakayekupa.

By | March 10, 2016
Kuna sehemu moja tu ambayo maisha huwa yanatuchanganya sana. Na sehemu hii ni kati ya ukweli wa maisha, na uhalisia unaotengenezwa na wanadamu. Unapozaliwa, iko wazi kabisa huji na ahadi yoyote, dunia hailazimiki kukupa wewe chochote. Unakuja kwenye dunia hii yenye kila aina ya fursa ukiwa hujaahidiwa chochote kutoka kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In