UKURASA WA 440; Jinsi Ya Kumpata Mtu Sahihi Kwako…

By | March 15, 2016
Kumpata mtu sahihi ni changamoto ambayo watu wengi sana wamekuwa wakikutana nayo. Inawezekana kuwa unatafuta mtu sahihi wa kufanya naye kazi, au biashara. Au pia unatafuta mtu sahihi wa kuishi naye kama mwenza wa maisha. Huwa tunaweka sifa na vigezo mbalimbali na kisha kuanza kutafuta ni nani sahihi anayeweza kuendana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In