BIASHARA LEO; Tofauti Ya Kutangaza Biashara Yako Na Kupiga Kelele.

By | March 17, 2016
Watu wengi wanaofikiri wanatangaza biashara zao, ukweli ni kwamba wanapiga kelele. Kabla hatujaendelea ni vyema tukajua kelele ni nini, ili tuone unahusianaje na wale wanaotangaza biashara. Kelele ni sauti zisizo na mpangilio au sauti zisizohitajika kwa mahali husika au wakati husika. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakiwapigia watu wengi kelele kuhusu biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In